Waumini wa Kanisa la Mkunazini wakiwa katika wakiwa katika Ibada ya kuuombea mwili wa Marehemu Brigedia Mstaafu Adam Mwakanjuki iliofanyika katika kanisa hilo.
Mchungaji Majaliwa akitia ukiufukiza wakatim wa Ibada ya Kumuombea marehemu Brigedia Mstaafu Adam Mwakanjuki.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akijumuika na Waumini wa madhehebu ya Anglikana Mkunazini katika Ibada ya kuuombea mwili wa Marehemu Mwakanjuni, aliyefarika Mjini Dar-es- Salaam.
Mke wa Marehemu Brigedia Mstaafu Adam Mwakanjuki Mama Ikupa Adam Mwakanjuki akiwa katika Ibada na Familia yake katika Kanisa la Mkunazini.
Mtoto wa Marehemu Brigedia Mstaafu akiwa na Msalaka wakati wakitoka Kanisani baada ya Ibada ya kumuombea marehemu Adam Mwakanjuki.
Wasaidizi wa Mchungaji wakiongoza msafara wa maziko katika viwanja vya makaburi ya Mwanakwerekwe.
Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakiwa wameubeba jeneza la mwili wa Marehemu Brigedia Mstaaf Adam Mwakanjuki wakiwa katika viwanja vya mwanakwerekwe kwa ajili ya maziushi.
Askofu Mstaafu John Ramadhani, akiongoza ibada ya mazishi katika makaburi ya Mwanakwerekwe.
Wananchi wakishuhudia mazishi ya Brigedia Mstaaf Adam Mwakanjuki.
Mke wa Brigedia Mstaaf Adam Mwakanjuki Mama Ikupa Adam.
No comments:
Post a Comment