Mfanyakazi wa Manispaa ya Zanzibar akifanya usafi katika soko kuu la darajani sehemu ya kuuzia mbogamboga, kama alivyokutwa na mdau wa blogo hii akifanya usafi huu leo mchana.kuimarisha usafi wa mazingira ya soko hilo.
BALOZI NCHIMBI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA MZEE MONGELLA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
ameongoza mamia ya waombolezaji, katika utoaji wa heshima za mwisho na
hatimae ...
11 hours ago
No comments:
Post a Comment