Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Chipukizi na Miembeni United.

 Mchezaji  wa timu ya Miembeni United Kassim Hamad,huku mchezaji wa timu ya Chipukizi Abdullatif Abdalla akijiandaa kumzuiya  katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar, uliofanyika uwanja wa Mao  timu hizo zimetoka sare ya  0 -- 0.
 Wachezaji  wa timu ya Miembeni United na Chipukizi wakiwania mpira katika mcxhezo wa ligi kuu ya Zanzibar. 

 Viongozi wa timu ya Chipukizi  wakimlalamikia  muumuzi  kwa uchezeshaji wake wa kupendelea upande mmoja, katika mchezo wa ligi kuu ya zanzibar. 
Mchezaji wa timu ya  Chipukizi  wakimzonga muumuzi kwa uchezeshaji waki kwa kuipendelea timu ya Miembeni United,.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.