Chief Commercial Officer wa Kampuni ya Simu ya ZANTEL,Tanzania Ahmed Mokhles, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, kabla ya kuzinduliwa kwa Mtando huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi wa hotel ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Chief Commercial Officer Ahmed Mokhles, akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wakati wa kutoa maelezo ya mtandao wao mpya uliozinduliwa leo Zanzibar.
Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya simu ya ZANTEL, Mussa Mohammed Baucha. akitowa maelezo ya matumizi na uwezo wa Mtandao wao mpya wa 3G, unavyofanya kazi, wakati wa mazungumzo na waandishi wa habari kabla ya uzinduzi wa mtambo huo, uliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Maofisa wa Kampuni ya ZANTEL, wakiwa katika Mkutano na Waandishi.
a/a naomba kabla hujaandika habari angalia masahihisho hususan maneno ya lugha ya kigeni
ReplyDeletekwani yatakuporomosha.