Habari za Punde

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwakabidhi bendera ya Zanzibar, Watoto wanaowawakilisha Watoto wezao Mayatima wakiwa na Viongozi wao wanaokwenda nchini Uturuki kuiwakilisha Zanzibar katika Kongamano la Kimataifa la Kuadhimisha Siku ya Watoto Yatima litakalofanyika mjini Istambul Uturuki kuanzia tarehe 28/05 hadi 03/06/2012. na kuwajumuisha Watoto wanaotoka  Nchi mbalimbali Nduniani kushiri katika Kongamano hilo.(Picha, Salmin Said, OMKR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.