Muakilishi wa Jimbo la Chakechake Omar Ali Sheheakiwa pamoja na Mwakilishi wa kuteuliwa Panya Othman CCM wakiingia katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
Wanafunzi wa Skuli ya SOS ya Kiembe samaki waki wa nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wakijitayarisha kuingia kwaajili ya kusikiliza Michangio mbalimbali inayotolewa na Wajumbe wa Baraza hilo.
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa rais Mohd Aboud akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jusa Ladhu ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi huko Bweni Nje ya Mji wa Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakisikiliza kwa makini hoja mbalimbali zinazotolewa ndani ya Baraza hilo huko Bweni Nje ya Mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR
Huyo mshkaji naeshangaa picha hapo juu hana mana hata kidogo, inasemekana ana mwaka mzima haja pita katika baadhi ya sehemu za jimbo lake kwa anaogopa kuombwa!
ReplyDeleteWadau hawamtaki lkn ndio yale "Maalimu kashasema"