Habari za Punde

Sherehe za Skauti Kukabidhi Vyeti Wahitimu wa Mafunzo Zashindwa kufanyika leo.

 Vijana wa Skauti wakiwa na Viongozi wao wakiwa nje ya Jengo la Skuli ya Kwerekwe B, Baada ya kuzuiliwa kufanya sherehe za kukabidhi Vyeti kwa Vijana wa Skauti baada ya kumaliza mafunzo ya Skauti, lakini yameshindwa kufanyika kwa sababu baadhi ya Viongozi wa Zamani wa Skauti kuzuiya kufanyika.
 Viongozi wa Skauti wakitafakari jinsi ya kuzuiliwa mkutano wao wa sherehe za kukabidhi vyeti Vijana wa Skauti, kwa kumaliza mafunzo yao ya Uskauti ili kukabidhiwa vyeti vyao na Mgeni Rasmin Mwakilishi wa Jimbo la Kitope Makame Mshimba ndie ametarajiwa kuwa mgeni rasmin katika sherehe hizo.
 Viongozi wa Skauti wakitafakari jinsi walivyopata hasara ya kuandaa sherehe hizo jinsi gani watafanikisha utoaji wa vyeti hivyo kwa Vijana wahitimu wa mafunzo ya Skauti Zanzibar. 
Wahitima wa Mafunzo ya Uskauti wakiwa nje ya jengo la Skuli ya Kwerekwe B 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.