Habari za Punde

Wanafunzi Washiriki Debate - Kujadili Muundo wa Familia


Wanafunzi kutoka katika Skuli ya Lumumba,Benmbela,Hailesalasie,Kiponda na Bilal Islamic wakishiriki katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar

Mkurugenzi wa Jumuiya ya Utamaduni ya Irani sheikh Abulfadhili akitoa maelezo mafupi kuhusiana na madhumuni ya mashindano yalioshirikisha Wanafunzi kutoka Skuli ya Lumumba,Benmbela,Hailesalasie,Kiponda na Bilal Islamic waliojadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.

Mwanafunzi kutoka katika Skuli ya Lumumba Secondary school Ghania Hemed Salim akijibu maswali mbalimbali alioulizwa katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar

Mwanafunzi kutoka katika Skuli ya Kiponda Saleh Ali Saleh akijibu maswali mbalimbali alioulizwa katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.

Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Sekondary Khadija Ali Mohd akitoa hotuba ya kuwapongeza Wanafumzi walioshiriki katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.

 PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

1 comment:

  1. Lau kama serikali ingejua umuhimu wa dibeti ktk ukuzaji wa kujiamini (confidence) kwa wanafunzi, nadhani wangetenga vipindi maalum vya dibeti kama vile ilivyo kwa masomo mengine.

    Ndugu zangu Naibu warizi wa mambo ya ndani ya nchini kutoka Z'BAR anatutia aibu!
    Hana 'confidence' hata kidogo, pamoja na elimu aliyonayo.

    Ktk uteuzi ambao SMZ inaonekana imepatia ni ule wa Naibu waziri wa fedha Bi Saada Mkuya pamoja na uwanagezi wake Bungeni lkn. kwa kweli anafurahisha.

    Ndugu zangu tengeni mda muangalie Bunge!
    Ipo haja kwa Wizara ya elimu kusisistiza dibeti maskulini.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.