Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais ikiwasilishwa leo jioni.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Dk. Shajak na Maofisa wa Ofisi hiyo wakifuatilia hutuba ya Bajeti ikiwasilishwa leo jioni na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Ferej.
Maofisa wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Bajeti ya Ofisi yao ikiwasilishwa na Waziri Mhe Fatma Ferej katika Kikao cha Bajeti leo jioni.
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Ferej, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi yake wa Idara mbalimbali baada ya kuwasilisha Bajeti ya Ofisi yake leo jioni katika Kikao cha Bajeti kwa Mwaka 2012/2013
No comments:
Post a Comment