Habari za Punde

Makabidhiano ya Ofisi kati ya Waziri Hamad aliyejiuzulu na Waziri mpya Rashid Seif


Waziri mpya wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Rashid Seif kulia akikabidhiwa Ofisi yake na Waziri wa wizara hiyo aliyejiuzulu karibuni Hamad Masoud Hamad kufuatia ajali ya kuzama kwa MV.Skagit. Picha na Nafisa Madai-Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.