Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Afungua Madarasa ya Skuli Pagali Jimbo la Uzini

Madarasa Mapya ya Skuli ya Pagali ambayo yamejengwa na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mohammed Raza ikiwa ni moja ya Ahadi aliyoahidi kwa Wananchi wa Jimbo hilo kujenga madarasa wakati wa ahdi yake wakati wa kampeni.
Rais wa Zanzibar n Mwenyekiti wa Baraza la Mapanduzi Dk. Ali Mohammed Shein, akikata utepe kuashiria kuzinduwa Madarasa hayo mapya ya Skuli ya Pagali Jimbo la Uzini Wilaya ya Kati Unguja. katikati Rais Mstaaf w Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi na Mwakilishi wa Uzini Mohammed Raza.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa Uzini akitowa maelezo ya Ujenzi huo wa madarasa mawili ya Skuli ya Pagali yaliojengwa na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mohammed Raza.





1 comment:

  1. JAMANI MIE NATAKA KUULIZA HUKU UZINI HAKUNA MBUNGE? NAONA KILA KITU ANAFANYA HUYU RAZA...AU YEYE KAOMBA KURA KWA AJILI YA KULA YEYE NA FAMILY YAKE.....HONGERA MUHESHIMIWA RAZA KWA KUFANYA ULICHOTUMWA

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.