Habari za Punde

Mashindano ya Kuhifadhi Qur-an Zanzibar Juzuu 30

Majaji wakifuatilia Wasomaji wa Qur-an kwa njia ya kuhifadhi Sura kwa Juzuu 30 yaliowashirikisha Wanafunzi wa Kike yaliofanyika Ukumbi wa Salama Bwawani
Mwanafunzi kutoka Zanzibar akiwa katika mashindano ya kuhifadhi Qur-an yaliofanyika Ukumbi wa Salama Bwwani. 
Washiriki wa Mashindno  ya Kuhifadhi Qur-an wakiwa katika ukumbi wa Mashindano wakisudiri kupanda jukwaani kusoma Qur-an. 

Wazazi na Waumini wa Dinmi ya Kiislam wakifuatilia mashindano hayo ya Kuhifadhi Qur-an yaliofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.