Habari za Punde

Waumini wa Kanisa la Anglikana Watoa Salamu zao za Rambirambi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Bishop Michael wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar mara baada ya kuwasilisha salamu zao za Rambi Rambi kwa Makamu wa Rais walipofika Ukumbi wa Baraza  la Wawakilishi Chukwani kulia. Katibu Mkuu wa Dayosisi Nuhu Sallanya.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.