Habari za Punde

Warsha ya Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Nafasi kwa Wanashiria Vijana

 JAJI Mkuu wa Zanzibar  Omar Othman Makungu  akifunguwa  warsha ya Siku mbili kuhusu  Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Nafasi kwa Wanashiria Vijana , ilioandaliwa na Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki, iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View
 JAJI Mkuu wa Zanzibar  Omar Othman Makungu  akifunguwa  warsha ya Siku mbili kuhusu  Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Nafasi kwa Wanashiria Vijana , ilioandaliwa na Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki, iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View
 Mtoa Mada Hamphrey Mtuy-EALS. akitowa mada ya Mahakama ya Afrika Mashariki . Muundo na Jinsi ya Kuitumia, akitowa mada hiyo kwa Wanasheria Vijana wa Zanzibar katika ukumbi wa Zanzibar Ocean View Kilimani. 
 Mhe. Grece Wakio Kakai, akitowa mada ya Mahakama ya Afrika ya Watu na Haki za Binaadamu Miundo na jinsi ya kuitumia, akiwasilisha katika mafunzo hayo yalioandaliwa na Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki, yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar. 
 Waheshimiwa Wanasheria wakifuatilia mafunzo ya Sheria kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa Wanasheria Vijana iliofanyika katika ukumbi wa hateli ya Zanzibar Ocean View Kilimani
 Mhe. Mukami Kowio - EAC Consultant, akitowa mada katika mkutano wa mafunzo kwa Wanasheria Vijana yalioandaliwa na Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki, yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.

Waheshimiwa Wanasheria Vijana wakimsikiliza mtoa mada.
JaJI Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, akiwa katika picha ya pamoja na Mawakili Vijana baada ya kufungua mafunzo kwa Wanasheria Vijana uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani ulioandaliwa na Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.