Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Omar Yussuf Mzee akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na saini iliotoliana Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Serekali ya China hivi karibuni, mkutano huo umefanyika katika Wizara ya Fedha Vuga. 
Waziri wa Fedha Omar YussuMzee akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake.Vuga
No comments:
Post a Comment