Wapenzi wa timu ya Mtende Renger wakishangilia timu yao ilipokuwa ikishiriki kwa mara ya kwanza ligi Kuu ya Zanzibar. wakiwa wakishangilia goli la tatu la timu yao, ikiwa ni mchezo wao wa kwanza na kuibuka na ushindi huo.
Mshambuliaji wa timu ya Mtende Ali Manzi akipiga mpira golini kwa timu ya Zimamoto huku beki wa timu ya Zimamota akimfuta kujaribu kumzuiya.
Beki wa timu ya Zomamoto Ramadhani Abdallah akimiliki mpira huku mshambuliaji wa timu ya Mtende akijiribu kumzuia katika mchezo wa ligu kuu ya Zanzibar Grand Malt.iuliofanyika uwanja wa Amaanl
Mshambuliaji wa timu ya Mtende Ali Manzi, akimpita beki wa timu ya Zimamoto Khamis Hamad, wakati wa mchezo wa ligi Kuu ya Grand Malt, uliofanyika katika uwanja wa Amaan timu ya Mtende imeshinda 3--0
Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad Hilika, akimpiga chenga beki wa timu ya Mtende Said Yussuf.
Golikipa wa timu ya Mtende Salum Said, akiokoa moja ya mashambulizi golimi kwake akidaka mpira mbele ya ,shambuliaji wa timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad Hilika, katika mchezo wa ligi ya Grand Malt, timu ya Mtende Renger ya Mtende imeshinda 3--0
No comments:
Post a Comment