Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akimsikiliza Waziri wa Chakula, Kilimo na Mifugo wa Uturuki Bwana Bwana Mehdi Eker, alipofika Ofisi ya Makamu kwa mazungumzo ya Kikazi. Vuga Mjini Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpatia zawadi ya Mlango Waziri wa Chakula, Kilimo na Mifugo wa Uturuki Bwana Mehdi Eker kama Ishara kwa Uturuki kufunguliwa Milango zaidi ya Ushirikiano kwa Zanzibar hasa katika suala la Uwekezaji
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya Pamoja na Ujumbe wa Viongozi wa Sekta za Biashara na Kilimo wa Uturuki ukiongozwa na Waziri wa Chakula, Kilimo na Mifugo Bwana Mehdi Eker aliyeko kulia ya Balozi.
Waziri wa Chakula, Kilimo na Mifugo wa Uturuki Bwana Mehdi Eker akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nje ya Jengo la Ofisi ya Balozi Seif liliopo Vuga
No comments:
Post a Comment