Habari za Punde

Mafunzo ya Wajasiriamali kuwawezesha Kiuchumi yalioandaliwa na Benki ya KCB Zanzibar.

 Mdau  akiwa katika harakati za kublog  habari akiwa katika eneo la shughuli katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi.
Mdau wa Blogo hii akitunukiwa Cheti  na Meneja wa Benki ya KCB Tawi la Zanzibar Francis Mandala, baada ya mafunzo hayo yaliowashirikisha Wajasiriamali Wadau wa Benki ya KCB  ili kuwezesha kiuchumi katika Biashara zao  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.