Habari za Punde

Matokeo ya Nafasi 20 za NEC Zanzibar a Tanzania Bara



Waliochaguliwa Nafasi kumi za NEC Tanzania Bara  hawa
1. Wassira Stephen - 2,135

2. January Makamba - 2,093

3. Mwigulu Nchemba - 2012

4. Shigela Martin - 1,824

5. Lukuvi William - 1,805

6. Membe Bernard - 1,455

7. Mathayo David - 1,414

8. Msome Jackson - 1,207

9. Mukama Wilson - 1,374

10. Mukangara Fenella – 984

Waliochaguliwa Nafasi kumi za NEC Zanzibar  Hawa.

Samiha Suluhu Hassan,1525

Mohammed Seif Khatib, 1668

Khadija Hassan Aboud,1625

Khamis Mbeto 1233

Abdulhakim Cosmas Chasamma 1248

Bhawanji Misuria Mshamba1406

Omar Yussuf 1485

Mbarawa Mnyaa 1850

Dk Husen Mwinyi 1579

Shamsi Vuai 1603.



2 comments:

  1. ASSALAAM ALEYKUM
    Nakupongeza saana tena saana kwa juhudi unayoichukuwa ya kutujuvya au kutupatia taarifa au habari mbali mbali za matukio tofauti yanayoendelea kujiri ndani na nje ya visiwa vya Zanzibar.
    Lakini tatizo langu ni moja tu ndugu yangu nalo ni dogo sana kama utakuwa makini au kulizingatia ni Proofreading katika baadhi ya caption stories unazoziweka na baadhi ya habari. Naelewa kuna kupitikiwa wakati wa kuandika, waandishi wenyewe mnaita typing erros,lakini unapoisoma iwapo itakuwepo na hayo niliyoyataja au kujirejearejea kwa maneno na kukosa kuhaririwa vizuri kabla kuchapa kwakweli huondoa ladha au utamu wa habari yenyewe na hii ni moja ya kasoro zilizopo katika uandishi. uhariri wa taarifa kabla ya kuichapisha.
    Ahsante natumai umenielewa kwa nia njema kabisa.
    wAASALLAM

    ReplyDelete
  2. Tumekuelewa mkuu wakati mwengine muda wa kuhariri si unajua internet yetu? mara umeweka makala mtandao slow mara umeme huna.

    Tutajitahidi.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.