Habari za Punde

Ukumbi Warindima Baada kutangazwa Matokeo Usiku Huu.


 Mama Salma Kikwete akisalimiana na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Nane wa CCM Kizota.
 Viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa juu wa CCM katioka picha ya pamoja na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo
 Wajumbe Wakishangilia baada kutangazwa matokeo ya Mwenyekiti na Makamu wake wa Bara na Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.