Habari za Punde

Kampuni ya Azam Marine ikiwa njiani kuleta Boti nyengine. Coming Soon Kilimanjari IV.

Mchuma wa Kampuni ya Azam Marine huo unaotarajiwa kuwasili nchini Marchi 2013, kutoa huduma ya Usafiri kati ya Dar-es- Salaam -Zanzibar na Pemba, ili kupunguza tatizo la usafiri kwa Wananchi wanaotumia njia ya Usafiri wa Baharini. kupata faraja ya kuwa na vyombo vingi vinavyotoa huduma hiyo.     

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.