Picha Juu na China. Mafundi wa kampuni iliojenga kituo cha Mabasi cha Muheza Mkoani Tanga wakimalizia wake wakiweka zege katika mifereji ya kituo hicho ya kupitishia maji machafu wakati wa mvua.
TIA YAANZISHA KAMPASI MPYA MKOANI TANGA
-
NA EMMANUEL MBATILO
TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imeanzisha Kampasi mpya ya TIA mkoani
Tanga, ambayo inalenga kuhudumia wanafunzi kutoka kanda ya Kask...
7 hours ago
Kwa wenzetu mambo yanakwenda ila sisi nadhani tumelaaniwa ndio kwanza tunataka kujenga viwanja vya watoto wakati mambo ya msingi yanatushinda.
ReplyDeleteIngependeza sana na sisi kuwa na stendi nzuri pale kariakoo, yenye nafasi, vyoo na maduka.
Hii ingesaidia sana kupunguza msongamano pale darajani na kusaidia kupanuka kwa mji kwani wafanyabiashara wanapenda kufungua maduka karibu na stendi.
Aidha wenye nyumba ktk maeneo ya Miembeni na Rahaleo wangefaidika na mraho huo kwani wangeuza au kupangisha nyumba zao.