Habari za Punde

Mandhari ya Jiji la Dar maeneo Tafauti.

 Hii ni mandhani ya mitaa ya Mwananyamala, ambo hubadilika kidogo kidogo kwa ujenzi wa nyumba za kisasa zinazojengwa na Wananchi wa maeneo hayo. 
Mandari ya Jiji la Dar -es- Salaam inavyoonekana picha likiwa katika kuimarika na ujenzi wake wa magorofa na kubadilika kila siku kwa ujenzi wa majumba makubwa, ikiwa ni moja ya maendeleo ya kuubadilisha mji huo kutoka katika miaka ya sitini ulivyokuwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.