Habari za Punde

Mmoja ya Miti ya Karne katika Mji Mkongwe wa Zanzibar.

Mti wa Historia katika eneo la Mji Mkongwe Forodhani ukiwa na historia hiyo na kuitembelewa na Wageni wengi wanaofika Zanzibar, ukiendelea kuvutia mandhari ya Mji Mkonwe na wakazi wa Malindi huutumia kwa kupungia upope wakati wa mchana. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.