Aliyekuwa Katibu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa CCM Zanzibar Mhe, Haroun Ali Suleiman, (kushoto) akimkabidhi makabrasha ya kutendea kazi katika Idara hiyo kwa Katibu Mpya wa Idara hiyo ya Uhusiano wa Kimataifa ya CCM, Hamad Masauni. makabidhiano hayo yamefanyika Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Katibu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa ya CCM Hamad Masauni, akitowa machache baada ya kukabidhi makabrasha na aliyekuwa akiongoza Idara hiyo Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, makabidhiano hayo yamefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Aliyekuwa Katibu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa CCM Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, akitowa nasahha zake kwa Katibu Mpya wa Idara hiyo Hamad Masauni, baada ya kuteuliwa kuongoza Idara hiyo Zanzibar, makabidhiano hayo yamefanyika katika Afisi Kuu ya CCM kisiwandui.
No comments:
Post a Comment