Habari za Punde

Ujenzi wa Kituo Kipya cha Basi Muheza Chakamilika.

 Picha Juu na China. Mafundi wa kampuni iliojenga kituo cha Mabasi cha Muheza Mkoani Tanga wakimalizia wake wakiweka zege katika mifereji ya kituo hicho ya kupitishia maji machafu wakati wa mvua.  

1 comment:

  1. Kwa wenzetu mambo yanakwenda ila sisi nadhani tumelaaniwa ndio kwanza tunataka kujenga viwanja vya watoto wakati mambo ya msingi yanatushinda.

    Ingependeza sana na sisi kuwa na stendi nzuri pale kariakoo, yenye nafasi, vyoo na maduka.

    Hii ingesaidia sana kupunguza msongamano pale darajani na kusaidia kupanuka kwa mji kwani wafanyabiashara wanapenda kufungua maduka karibu na stendi.

    Aidha wenye nyumba ktk maeneo ya Miembeni na Rahaleo wangefaidika na mraho huo kwani wangeuza au kupangisha nyumba zao.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.