Matayarisho ya Ujenzi wa Uwanja mpya wa Watoto Kariakoo, kilichokuwa kikijulikana kwa jina la Kiwanja cha Kufurahishia Watoto Kariakoo Zanzibar,kama kinavyoonekana pichani baada ya kufunguliwa baadhi ya pembea zilizokuwa zikitumika katika kiwanja hicho, ili kupisha ujenzi wake na kufungwa mapembea ya kisasa baada ya ujenzi wake unaojengwa na Kampuni kutoka nchini China.
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR -UFUNGUZI WA KONGAMANO LA MKUPONGEZA
RAIS WA ZANZIBAR
-
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema katika
kipindi cha miaka mitano iliyopita, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
(WEMA)...
2 hours ago
Huu ni uvivu wa kufikiri!..Nilitarajia SMZ watumie uwanja huu kwa kitu kingine kama vile ujenzi wa stendi au ofisi za serikali.
ReplyDeleteKtk wakati huu wa biashara huria SMZ ilitakiwa iwaachie w'nchi watafute maeneo ya kujenga mapembea ya kufurahishia watoto.
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete