Habari za Punde

Mambo ya Ujenzi wa Uwanja wa Kariokoo hayooo........

Matayarisho ya Ujenzi wa Uwanja mpya wa Watoto Kariakoo, kilichokuwa kikijulikana kwa jina la Kiwanja cha Kufurahishia Watoto Kariakoo Zanzibar,kama kinavyoonekana pichani baada ya kufunguliwa baadhi ya  pembea zilizokuwa zikitumika katika kiwanja hicho, ili kupisha ujenzi wake na kufungwa mapembea ya kisasa baada ya ujenzi wake unaojengwa na Kampuni kutoka nchini China.

2 comments:

  1. Huu ni uvivu wa kufikiri!..Nilitarajia SMZ watumie uwanja huu kwa kitu kingine kama vile ujenzi wa stendi au ofisi za serikali.

    Ktk wakati huu wa biashara huria SMZ ilitakiwa iwaachie w'nchi watafute maeneo ya kujenga mapembea ya kufurahishia watoto.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.