Habari za Punde

Msimu wa Utalii Ukishamiri katika Visiwa vya Zenj..

 Watalii wakichagua Kadi kwa ajili ya kuwatumia jamaa zao kuwapongwza kwa Mwaka mpya unaotarajiwa wiki ijayo, wakiwa katika moja ya duka la vitu vya kitalii katika mitaa ya Mji Mkongwe.  
Msanii wa Sanaa na uchoraji na muziki wa Kizazi Kipya Zanzibar Mody Kay.akiwa katika sanaa ya uchoraji wa picha za Tingatinga katika mitaa ya Mji Mkongwe, kwa ajili ya Biashara ya Kitalii kwa wageni wanaotembelea mitaa hiyo akiwa katika mtaa wa Hurumzi ,akiwajibika  wakati wa asubuhi na jioni kijishughulisgha na mambo ya muziki, mkoba mmoja huu kwa shilingi 15000/=  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.