Balozi wa Tanzania Nchini Oman Ali Ahmed Saleh, akizungumza na Mwandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serekali Zanzibar Leo alipokuwa Nchini Oman akiripoti Uchaguzi wiki iliopita, mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Oman katika Jengo la Madinat Al Sultan Qaboos.
Mwananchi akiwekwa alama maalum baada ya kupiga kura yake.
Wananchi wa Oman wakipiga kura wiki iliopita.
Mwandishi wa Gazeti la Zanzibar Leo Juma Mohammed, akifuatilia matokeo ya Uchaguzi wakati alipokuwa nchini Oman, kuripoti uchaguzi huo.
No comments:
Post a Comment