Habari za Punde

Mtoto mchanga aokotwa na wasamaria wema Tumbe

Mmoja kati ya wafanyakazi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendelo ya Vijana Wanawake na Watoto Pemba, Mwanaisha Ali Massoud, akimwangalia mtoto mchanga, aliyetupwa na mama yake mzazi baada ya kuzaliwa huko Tumbe Kaliwa, wilaya ya micheweni, na kuokotwa na wasamaria wema.
Mmoja kati ya wafanyakazi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendelo ya Vijana Wanawake na Watoto Pemba, Mwanaisha Ali Massoud, akimwangalia mtoto mchanga, aliyetupwa na mama yake mzazi baada ya kuzaliwa huko Tumbe Kaliwa, wilaya ya micheweni, na kuokotwa na wasamaria wema
Picha na Abdull Suleiman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.