Meli ya Nautica ikiwa katika bandari ya Malindi ikiwa imetia nanga kwa ajili ya kushusha Watalii waliofika kutembelea Sehemu za Historia ya Zanzibar, ikitokea Mombasa Kenya ikiwa imebeba Watalii zaidi ya 600, kutoka Nchi mbali mbali.Zanzibar ni kituo muhimu kwa Utalii wa daraja la kwanza.
Boti ikiwa na Watalii ikiwapeleka katika bandari ya malindi kwa ajili ya kufanya utalii katika mji mkongwe
Watalii wakiwa katika bandari ya malindi baada ya kuteremka katika Meli ya Kitalii ya Nautica iliotia nanga katika bandari ya Zanzibar kwa muda wa siku moja na kutembelea sehemu za historia za kisiwa cha Unguja, ikiwa na Watalii zaidi ya mia saba.
Mfanyabiasha za Kitalii katika bandari ya Malindi akipanga bidhaa zake kwa ajili ya kufanya biashara hiyo
No comments:
Post a Comment