Mwakilishi wa Mwanakwerekwe na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Shamsi Vuai Nahodha, akimsikiliza Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa, akisisitiza jamba baada ya kuahirishwa kwa Kikao cha Baraza cha asubuhi cha maswali na majibu na kuwasilishwa Ripoti ya Shirika la Umeme Zanzibar na Kamati ya Fedha na Hesabu za Serikali.
Mwakilishi wa Mwanakwerekwe na Waziri wa Ulinzi Shamsi Vuai Nahodha(CCM) akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Baraza kushoto Omar Ali Shehe(cuf)na Hija Hassan Hija (CUF) wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kuwasilishwa ripoti ya Kamati ya Fedha na Hesabu za Serekali, iliochukuwa muda wa karibu masaa mane, iliosomwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Omar Ali Shehe.
Mwakilishi wa Mji Mkongwe (CUF) Ismail Jussa akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Baraza kushoto Omar Ali Shehe(CUF)na Hija Hassan Hija (CUF) wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano
No comments:
Post a Comment