Habari za Punde

Kilele cha wiki ya uwezeshaji


Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Asha Ali Abdlalla,akizungumza na wananchi na wanaushirika wa Vikundi mbali mbali wakati wa Sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji Wananchi huko Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

Waziri wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman,akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na na wananchi na wanaushirika wa Vikundi mbali mbali wakati wa Sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji Wananchi huko Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar

Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali Serikali,na Wajasiriamali waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar,wakiksikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao le

Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali Serikali,na Wajasiriamali waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar,wakiksikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao le

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akimkabidhi Fatma Abdalla Issa,wa Kikundi cha "Tanaweza Coop " Ole Kaskazini Pemba,Mfano wa Cheki ya Shilingi za Kitanzania Millioni Mia tatu na Laki Saba,kwa niaba ya Vikundi vya Ushirika na Wajasiriamali wa Mikoa Mitano ya Zanzibar,wakati wa sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Kazi,Uweshaji, Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na wananchi na Wajasiriamali ,wakati wa sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar,(kutoka kushoto )Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Kazi,Uweshaji, Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman,na (kulia) Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana,Abdalla Twalib

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akimkabidhi Cheti cha Shukurani Bibi Nuru Hafidhi Mzee,Mstaafu katibu Muhtasi Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,wakati wa sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Kazi,Uweshaji, Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman


Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

1 comment:

  1. hizi zote ni aina ya rushwa ambayo serikali inazitoa ili kujitayarisha na uchaguzi wa 2015 ,kuwarubuni wananchi ,
    Enyi wananchi amkeni hao si watawala wenye kukutakieni mema , wameweka maslahi yao mbele bila ya kujali vipi watayafikia maslahi yao ,

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.