Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi na Ushirika Asha Ali Abdlalla,akizungumza na wananchi na
wanaushirika wa Vikundi mbali mbali wakati wa Sherehe za Kilele cha
Wiki ya Uwezeshaji Wananchi huko Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Zanzibar,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Waziri wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi
na Ushirika Haroun Ali Suleiman,akimkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na
na wananchi na wanaushirika wa Vikundi mbali mbali wakati wa Sherehe
za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji Wananchi huko Ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Zanzibar
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali
Serikali,na Wajasiriamali waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha
Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani
Mjini Zanzibar,wakiksikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao
le
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali
Serikali,na Wajasiriamali waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha
Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani
Mjini Zanzibar,wakiksikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao
le
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akimkabidhi Fatma Abdalla
Issa,wa Kikundi cha "Tanaweza Coop " Ole Kaskazini Pemba,Mfano wa
Cheki ya Shilingi za Kitanzania Millioni Mia tatu na Laki Saba,kwa
niaba ya Vikundi vya Ushirika na Wajasiriamali wa Mikoa Mitano ya
Zanzibar,wakati wa sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi
Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar,(kushoto)
Waziri wa Kazi,Uweshaji, Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali
Suleiman
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na wananchi na
Wajasiriamali ,wakati wa sherehe za Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji
wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Zanzibar,(kutoka kushoto )Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,
Waziri wa Kazi,Uweshaji, Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali
Suleiman,na (kulia) Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya
Amana,Abdalla Twalib
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akimkabidhi Cheti cha
Shukurani Bibi Nuru Hafidhi Mzee,Mstaafu katibu Muhtasi Wizara ya
Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,wakati wa sherehe za
Kilele cha Wiki ya Uwezeshaji wananchi Kiuchumi katika Ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Kazi,Uweshaji,
Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu
hizi zote ni aina ya rushwa ambayo serikali inazitoa ili kujitayarisha na uchaguzi wa 2015 ,kuwarubuni wananchi ,
ReplyDeleteEnyi wananchi amkeni hao si watawala wenye kukutakieni mema , wameweka maslahi yao mbele bila ya kujali vipi watayafikia maslahi yao ,