Mama wa kifaransa ambaye jina halikujulikana (pichani) akisakata midundo ya kitanzania kama alivyokutwa na kamera ya mpiga picha Martin Kabemba kwenye kisiwa kidogo cha Kwale Zanzibar juzi. Jumla ya watalii 120 kutoka Ufaransa walikuwepo nchini kwa ziara ya utalii kwenye sehemu mbalimbali za kihistoria.
Picha na Martin Kabemba
No comments:
Post a Comment