RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Kituo cha Jengo la Digital Zanzibar kwaajili ya kuzindua jengo hilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Utepe kuashiria kulizinduwa jengo la Kituo cha Digital Zanzibar, litakalotumika kurushia Matangazo wa TV.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akipata maelezo ya
matumizi ya vifaa vya Dijital,kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya
Agape Association LTD,Dr Vernon Fernandes,(kushoto) baada ya kufanya
uzinduzi wa Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia kwenda
Dijital hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za
kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk,na (watatu
kulia) Dk.Anny Fernandes
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kufungua jengo la Studio
ya kurikodia Sanaa na Muziki ambalo lilifanyiwa ukarabati na
kurejeshwa hadhi yake,hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,ikiwa ni shamra
shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk.
Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Ali Mwinyikai moja ya chumba cha kurikodia muzika katika jengo hilo.
Viongozi wa Serekali na Wawakilishi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia.
Baadhi ya Viongozi wa Serekali na wa Kampuni ya Agape
Association,LTD na wananchi waimsikiliza Rais Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akizungumza nao katika jengo la Studio ya kurikodia Sanaa na Muziki
ambalo lilifanyiwa ukarabati na kurejeshwa hadhi yake,ikiwa ni shamra
shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba
No comments:
Post a Comment