Habari za Punde

Peleka pesa nyumbani kupitia Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ ltd

 
Iwezeshe Zanzibar yako!
Kwa kupeleka pesa kutoka Canada, UK, Australia, New Zealand and Europe (EU) kupitia Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ Ltd).
 
Peleka kutoka nyumbani kwako bila ya kwenda benki kwa bei nafuu sana!
 
Shime shime tuisaidie Zanzibar yetu!
 
Fuata hizi hatua 3 rahisi kwa kubonyeza hapa:  <www.worldremit.com>
 
 
Chanzo: Zanzibar-Canadian Diaspora Association (ZACADIA)!

2 comments:

  1. Sasa mpokeaji lazima awe na account ya PBZ au sio lazima, naomba wasomaji munisaidie.....

    ReplyDelete
  2. Sio lazima. Ukishapeleka mpokeaji anaenda PBZ Malindi au Pemba na kuchukua pesa. Pesa hazitiwi kwenye akaunti ya mtu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.