Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji ndugu, jamaa na marafiki wa familia zilizoondokewa na watoto na wazazi kufuatia ajali ya barabarani maeneo ya kijiji cha Kibiki, Ubena Zomozi katika mkoa wa Pwani Februari 11, 2013 iliyoua hapohapo watu wanane wakiwemo wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chalinze baada ya gari dogo aina ya Toyota Mark II lililokuwa limebeba abiria wanane kugongana uso kwa uso na roli(Picha na Ikulu Dar)
Rais Kikwete akitowa mkuno wa pole kwa Familia zilizofiwa na jamaa zao katika ajali hiyo.
Magari yaliopata ajili na kuuwa Wananchi katika eneo la Ubena, kama zinavyoonekana pichani
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment