Habari za Punde

PBZ Pemba yakabidhi jezi kwa timu ya Jamhuri

 MENEJA wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), tawi la Pemba Haji Machano Haji (mwenye tai) akimkabidhi nahoza wa klabu ya Jamhuri ya Wete Pemba, Mfaume Shaaban (kulia), trak suti na jezi 25 kwa ajili ya mchezo wa klabu bingwa barani Afrika, wa marejeano baina yao na ST: George, wiki mbili zijazo nchini Ethiopia, kushoto anaeshuhudia na Afisa Mdhamini Wizara ya Habari Pemba Ali Nassor, na alieoko nyuma ni Mkurugenzi wa fedha wa klabu ya Jamhuri Salim Ubwa Nassor

MENEJA wa benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) tawi la Pemba Haji Machano Haji akimkabidhi trak suti na jezi 25, nahoza wa klabu ya Jamhuri ya Wete Pemba Mfaume Shaaban kwa ajili ya mchezo wa marejeano wa klabu bingwa barani Afrika baina yao na ST: George wiki mbili zijazo nchini Ethiopia, anaeshuhudia ni Mkurugenzi wa fedha Jamhuri Salim Ubwa Nassor, (picha na Haji Nassor, Pemba)   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.