Habari za Punde

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA OATUU

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa Solidarity Forever alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu la Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Afrika (OATUU) uliofanyika kwenye hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam, Agosti 22, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu la Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Afrika (OATUU) uliofanyika kwenye hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam, Agosti 22, 2025

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa Baraza Kuu la Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Afrika (OATUU) uliofanyika kwenye hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam, Agosti 22, 2025. Alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa mkutano huo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi  Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamuhokya alipowasili kwenye hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam kumwakilisha  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu la Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Afrika (OATUU), Agosti 22, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi alipowasili kwenye hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam kumwakilisha  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu la Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Afrika (OATUU), Agosti 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.