Habari za Punde

Onesho la Epiq BSS Tour lafana Arusha.

 Mashabiki wa Miziki wa Kizazi Kipya wakishangilia Wasanii waliokuwa wakitowa burudani katika Onesho hilo la Epiq BSS Tour .mjini Arusha

 




 Msanii Norman akifanya vitu vyake katika show hiyo.

Walter na Ben wakifanya vitu vyao, katika onesho la Epiq BSS Tour

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.