Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha CPA. Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa
Mkoa wa Arusha kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe
26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Hassan Omari Kitenge kuwa
Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino,
mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Laurean Josephat Ndumbaro kuwa
Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino,
mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Khatibu Malimi Kazungu kuwa Katibu
Tawala Mkoa wa Dodoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma
tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Deo Osmund Mwapinga kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi
mbalimbali, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
No comments:
Post a Comment