Habari za Punde

 Mabadiliko ya Tabianchi inasababisha uharibifu wa mazingira ya maeneo mbalimbali ya kukumbwa na Tabianchi kama sehemu hii ya Ufukwe wa bahari ya Nungwi ikiwa imeliwa na maji ya bahari na kusababisha eneo la ufukwe huo kuchukuliwa na maji ya bahari, kama inavyoonekana eneo hili lilikiwa tayari limekumbwa na hali hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.