Habari za Punde

Zanzibar Door.

Milango ya Zanzibar Door ni moja ya kivutio cha Mji Mkongwe wa Zanzibar kwa Wageni wanaofika katika mitaa hiyo kuangalia mitaa ya historia na wakazi wa Zanzibar hutumia milango hiyo kwa matumizi ya majengo yao ili kupendezesha majengo yao. Mloango kama huu huuzwa kati ya shilingi laki saba na kuendelea inategemeana na uzuri wa mlango wenyewe.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.