Mkurugenzi Mkuu wa Viwanja vya Ndege Zanzibar Said Iddi Ndumbogani akimuonesha Naibu Wazri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Issa Haji Gavu eneo la maegesho ya ndege linalotengenezwa katika eneo la uwanja huo, ili kuzidisha maegesho ya ndege na kuwa la hadhi ya kimataifa zaidi na kuwa na uwezo wa kuchukuwa wingi wa ndege katika maegesho hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Viwanja vya Ndege Zanzibar Said Iddi Ndumbogani akimuonesha Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Issa Haji Gavu michoro ya ramani ya ujenzi wa barabara ya kuondokea ndege na maegesho ya ndege katika uwanja wa ndege wa Zanzibar. ujenzi huo hautathiri huduma katika uwanja huo na huduma zitaendelea kama kawaidi.
Watalii wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakishuka katika ndege ya Kampuni ya Tropical.
No comments:
Post a Comment