Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Wizara ya Ardhi,Maji,Makaazi na
Nishati,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo kilichofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati, katika utekelezaji wa kazi za Wizara
hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad
Picha na Ramadhan Othman , Ikulu
No comments:
Post a Comment