Habari za Punde

Mradi wa Champion watoa Elimu na Ushauri Nasaha kwa Wananchi walio karibu na ulipopita Waya huo.

 Senior Program Officer Engerderhealthr, John George, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mradi wa Champion kuhusia na mradi huo ulivyotowa huduma ya kutowa elimu kwa Wafanyakazi wa kampuni iliyoweka Waya mpya wa Umeme Zanzibar na Wananchi wa jirani kuwapatia Elimu ya Ukimwi na kukutana na Wananchi 630 na kutowa elimu wakiwemo wafanyakazi wa mradi wa uwekaji wa waya wa umeme 52. na watu 135 kujitokeza kupima ukimwi.
 Muelimishaji Rika, Ali Abdulla akitowa maelezo kwa mfanyakazi wa ZECO, katika viwanja vya Kituo cha Umeme Mtoni wakati wa uzinduzi wa umeme mpya. 
Muelimishaji Rika wa Mradi wa Champion, Ziradi Abdulkarim, akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na mradi huo ulivyotowa huduma wakati wa uwekaji wa Waya mpya wa Umeme ulivyotowa huduma ya kutowa elimu kuhusiana na Ukimwi na kupata kutowa elimu kwa wananchi zaidi ya 360 katika sehemu ulipopita waya huo, katika maeneo ya Unguja na kupata wananchi 52 kupima afya zao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.