Habari za Punde

Waziri Samia Atembelea Ofisi za Uhamiaji Zanzibar.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Muungano Samia Suluhu Hassan akionyeshwa aina mbali mbali za Passpoti ambazo zinatumika hapa Nchini na Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji Passpoti na Ukaazi Haji Hamza Khamis wakati wa Ziara ya kutembelea Taasisi za Muungano zilizopo Zanzibar
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan  akionyeshwa Vibali vya Ukaazi Nchini na Mkuu wa Kitengo cha kuzalishia Passpot na Ukaazi Haji Hamza wakati wa Ziara ya kutembelea taasisi za Muungano ziliopo Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiuliza jambo kwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Mwinchumu  Hassan Salum  kwenye chumba cha Kutunzia Kumbu kumbu za Nyaraka za Kuzaliwa wakati wa Kuomba passpoti Nchini[Picha na Ali Meja]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.