Moja ya Marikiti Kuu Zanzibar ambayo hutowa huduma za kujipatia vitu na bidhaa mbalimbali kwa Wananchi wa Unguja. Soko hili ni kivutio cha Wageni wanaotembelea Zanzibar likiwa lina historia ya aina yake Zanzibar.
KAIMU MKURUGENZI MKUU FCC ATEMBELEA BANDA LA WMA SABASABA
-
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC) Tanzania bi.Hadija Juma
Ngasongwa akisaini kitabu Cha wageni mara baada ya kutembelea banda la
Wakala Wa V...
1 hour ago
Mwandishi ni vizuri kuandika"Soko hutowa huduma za kujipatia vyakula mbalimbali badala ya kuandika vifaa mbalimbali maana hapo hapauzwi nondo ,saruji wala mabati, hapo wananchi wanajipatia mahitaji ya chakula.
ReplyDeleteSawa mkuu tumerekebisha na kuweka vitu na bidhaa.
ReplyDeleteShukran kwa angalizo